Nenda kwa yaliyomo

Kenya Power and Lighting Company

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kenya Power Lighting Ltd)

Kenya Power and Lighting (KPLC) ni kampuni inayohusika na maambukizi ya umeme na usambazaji wa umeme nchini Kenya. KPLC ni kampuni ya kitaifa ya shirika la umeme inayosimamia upimaji wa mita ya umeme, toleo ya leseni, fakturering, huduma ya umeme wa dharura na mahusiano ya mteja.[1]. Makao makuu ya KPLC yako katika Electricity House, Harambee Avenue jijini Nairobi; inaendesha ofisi nyingi kote nchini Kenya.

Kutokana na matatizo ya mara kwa mara za upatikanaji wa umeme nchini kampuni inatajwa pia kwa jina la kutania "Kenya Power and Darkness".

  1. ↑ "KPLC, Front page". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-11. Iliwekwa mnamo 2009-11-28.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenya Power and Lighting Company kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.