Nenda kwa yaliyomo

Kent Haruf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kent harry)

Alan Kent Haruf (Februari 24, 1943 - Novemba 30, 2014) alikuwa mwandishi wa riwaya wa Marekani.

Haruf alizaliwa kule Pueblo, Colorado, mtoto wa waziri wa Methodist. Mnamo 1965 aliweza kuhitimu akiwa na stashahada ya kwanza kutokea chuo kikuu cha Nebraska Wesleyan ambapo badae angeliweza kufundisha na akaweza kupata MFA kutoka kwa Lowa Writers’ Workshop katika chuo kikuu cha Lowa mnamo mwaka 1973.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kent Haruf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.