Nenda kwa yaliyomo

Kenny Shields

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenny Shields (24 Oktoba 194721 Julai 2017) alikuwa msanii kutoka Kanada na mwimbaji mkuu wa bendi ya rock ya Streetheart, maarufu kwa kuimba vibao mbalimbali, ikiwemo "Action", "Hollywood", "Look in Your Eyes", "What Kind of Love Is This", na toleo la "The Rolling Stones" la kibao cha Under My Thumb.[1][2][3]

  1. Friend, David (Julai 21, 2017). "Streetheart lead singer Kenny Shields dies". The Globe and Mail. The Canadian Press. Iliwekwa mnamo Ago 6, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Elkhorn student signs recording contract", Shoal Lake Crossroads, Newspaper Archive, June 14, 2013, p. 4. 
  3. "Streetheart lead singer, Saskatchewan native Kenny Shields dead", Regina Leader-Post, July 21, 2017. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenny Shields kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.