Kebra Negast
Mandhari
Kebra Negast (kwa Kiswahili: Hadithi za Wafalme) ni kitabu kilichoandikwa mnamo karne ya 14 kwenye lugha ya Giiza.
Ni taarifa inayoeleza urithi wa Mfalme Sulemani katika Ukristo wa Kihabeshi.
Inaeleza jinsi Malkia Makeda (ajulikanaye kama malkia wa Sheba) alivyokutana na Mfalme Suleimani[1].
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kebra Negast kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |