Kayamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kayamba ni ala ya muziki ambayo imetengenezwa kwa matete na ndani yake hutiwa punje kavu za nafaka, kwa mfano mahindi.

Inapotikiswa kwa mdundo maalumu inatoa sauti nzuri inayochangia hasa furaha ya nyimbo.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kayamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.