Katlego Kai Kolanyane-Kesupile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katlego Kai Kolanyane-Kesupile (amezaliwa Januari 1988, pia anajulikana kama Kat Kai Kol-Kes) ni msanii wa kutumbuiza, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati LGBT kutoka Botswana.  Anajulikana kwa kuwa mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini kujisema waziwazi kuwa amejibadili jinsia .  Yeye pia ndiye mtu wa kwanza kutoka Botswana kuitwa TED fellow .

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Kolanyane-Kesupile alizaliwa mwezi januari 1988 in Francistown.[1][2] . Yeye ni mtu wa kwanza aliejibadilisha jinsia kuja wazi katika Botswana, ambayo alifanya 2013 . [3][4][5] Kolanyane-Kesupile alihudhuria shule ya msingi clifton.[2] Alikuwa na umri wa miaka kumi na nane. .[5]. Kolanyane-Kesupile alipata shahada ya kwanza katika ukumbi wa michezo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na kupata shahada ya uzamili ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Haki ya Kijamii kutoka kwa Goldsmiths, Chuo Kikuu cha London. [6][3] Akawa Msomi wa Chevening, udhamini wa Chevening ulikua 2016.[3]

Kolanyane-Kesupile ni mwanzilishi wa Queer Shorts Showcase Festival, ambayo ni ya kwanza na ya pekee LGBT Botswana [7][8] Ameandika kwa “Peolwane Magazine”, “The Kalahari Review”, “The Washington Blade” na “AfroPUNK.com”. < [9] Kolanyane-Kesupile pia hucheza na kikundi cha Chasing Jakyb . .[10] Alikuwa akiandika nyimbo kwa lugha ya Kiingereza na setswana. [10] Kundi liliachia albumu, Bongo Country, 2015.[11] Kolanyane-Kesupile 2013/2014 alikua mshindi bora zaidi wa Botswana katika kitengo cha Sanaa za Uigizaji .Aliitwa kimataifa TED fellow 2017 alikuwa wa kwanza kwa kupata tuzo hii.[12][13] mnamo 2018, alijumuishwa katika orodha ya wanawake 100 OkayAfrica.[13]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Katlego Kolanyane-Kesupile", Okay Africa's 100 Women. Retrieved on 2022-04-23. (en-US) Archived from the original on 2020-10-16. 
  2. 2.0 2.1 Kol-Kes, Kat Kai. "What it feels like to become 'Botswana's first openly Trans* identifying public figure'", TRUE Africa, 2017-02-10. (en-US) 
  3. 3.0 3.1 3.2 McAllister, John (2017-06-30). "Kat's Nine Lives: Performing Trans Identity/ies in Botswana". Kalahari Review. Iliwekwa mnamo 2018-07-16. 
  4. Mnthali, Luso (29 July 2016). "Being Kat Kai Kol-Kes: A Motswana Trans* Woman's Art and Activism". AfriPop! (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-16. Iliwekwa mnamo 2018-07-16.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date= (help)
  5. 5.0 5.1 Kol-Kes, Kat Kai. "Being trans* is becoming a black woman of complications", TRUE Africa, 2017-02-17. (en-US) 
  6. "How one Chevening Alumna is bring queer pride to her village". Chevening (kwa Kiingereza). 7 July 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-16.  Check date values in: |date= (help)
  7. Busari, Stephanie. "The women risking their lives to fight homophobia in Africa", CNN, 20 October 2017. 
  8. Lavers, Michael K.. "Former Botswana president speaks in support of LGBT rights", Washington Blade, 2016-01-21. (en-US) 
  9. "Queer Literature and Culture: A dialogue with Katlego Kai Kolanyane-Kesupile", Africa in Dialogue, 2016-11-13. (en-US) 
  10. 10.0 10.1 "NEW MUSIC: Kat Kai Kol-Kes, the transgender artist from Botswana, brings rain to the dancefloor with 'My Body", AFROPUNK, 2014-09-17. (en-US) 
  11. Mahlinza, Luyanda. "Ever heard of Post-pop Folk?", Cue Online, 2015-07-08. Retrieved on 2022-04-23. (en-US) Archived from the original on 2018-07-10. 
  12. "Botswana's first publicly open transgender among 10 African trailblazers on the TEDGlobal 2017 list". YourBotswana (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 September 2017. Iliwekwa mnamo 2018-07-16.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  13. 13.0 13.1 "Kolanyane-Kesupile Honoured on Global Influencer List". Pristine Mag (kwa en-US). 7 March 2018. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 July 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-16.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

jamii[hariri | hariri chanzo]