Kationi
Mandhari
Kationi (+) kutoka neno la Kigiriki κάτω (káto), likimaanisha "chini") ni ioni iliyo na elektroni chache kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji chanya.
Katika chombo cha elektrolisisi huvutiwa kwenye kathodi.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kationi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |