Katherine Maher

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katherine Roberts Maher (alizaliwa 18 Aprili 1983.[1] ni afisa mkuu mstaafu na mkurugenzi mtendaji wa Wikimedia Foundation. [2][3]

Akiwa mwanachama wa Baraza la Uhusiano wa Kigeni, Maher alifanya kazi UNICEF, Taasisi ya Kitaifa ya demokrasia na Benki ya Dunia kabla ya kujiunga na Wikimedia Foundation. Baadaye alijiunga na Baraza la Atlantiki na kwa sasa anatumikia katika Bodi ya Sera ya Mambo ya Nje ya Marekani.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Maher: «La Fundación necesita reflejar la cultura que queremos ver en la comunidad» »" (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  2. Patricio Lorente, Christophe Henner (2016-06-24). "Foundation Board appoints Katherine Maher as Executive Director". Diff (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  3. "Wikimedia Foundation CEO Katherine Maher to Step Down in April 2021". Wikimedia Foundation (kwa en-US). 2021-02-04. Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  4. https://lists.wikimedia.org/pipermail/wikimedia-l/2021-February/096166.html
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katherine Maher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.