Kate Henshaw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Kate Henshaw
Kate Henshaw
Amezaliwa19 Julai 1971
Kazi yakeMwigizaji


Kate Henshaw (alizaliwa 19 Julai 1971)[1][2][3] ni mwigizaji wa Nigeria.

Mwaka 2008 alishinda Tuzo ya Africa Movie Academy kwa Mwigizaji Bora wa Kike kwenye Jukumu Kuu kwa uigizaji wake katika filamu ya Stronger than Pain. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kate Henshaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.