Kate Beckinsale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kate Beckinsale
Katie Beckinsale
Katie Beckinsale
Jina la kuzaliwa Kathryn Bailey Beckinsale
Alizaliwa 26 Julai 1973
Uingereza
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1991 - hadi leo
Ndoa Len Wiseman (2004-hadi leo)
Watoto Lily Mo Sheen (alizaa na Michael Sheen)
Wazazi Mama: Judy Loe
Baba: Richard Beckinsale

Kathryn Bailey Beckinsale (amezaliwa tar. 26 Julai 1973) ni mwigizaji filamu wa Kiingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza katika baadhi ya filamu zilizomaarufu - Pearl Harbor (2001), Underworld (2003) na Van Helsing (2004). Kate alizaliwa mjini London na wazazi waliowaigizaji filamu, Judy Loe na Richard Beckinsale, kwa bahati mbaya baba wa Kate amekwishafariki dunia mnamo mwaka 1979 kwa ugonjwa wa moyo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kate Beckinsale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.