Kasula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kardinali Camillo Ruini akivaa kasula

Kasula ni vazi la nje la Askofu na la kasisi katika adhimisho la Ekaristi.

Inatokana na mavazi ya kiraia ya zamani (paenula ya Warumi).

Inaweza kuwa na sura na rangi mbalimbali, lakini inatakiwa kufunika sehemu kubwa ya mwili, jina linavyodokeza ('nyumba ndogo').