Karl Landsteiner
Mandhari
Karl Landsteiner (14 Juni 1868 – 26 Juni 1943) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria. Baadhi ya utafiti mwingi alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Aligundua aina nne za damu ya mwanadamu. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karl Landsteiner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |