Kanuni za kifonolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Kanuni za kifonolojia" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Kanuni za kifonolojia ni mabadiliko mbalimbali yanayotokea wakati mtu anapotamka neno au tungo, hapa tunaangalia zaidi kipande sauti ambacho hubadilikabadilika na kuwa katika tofauti. Kanuni hizo ni:

  1. udondoshaji
  2. uyeyushaji
  3. ukaakaaishaji
  4. muungano wa irabu
  5. tangamano la irabu
  6. ving`ong`o kuathiri konsonanti
  7. konsonanti kuathiri ving`ong`o
  8. ving`ong`o kuathiri irabu