Kanda ya Kibinadamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukanda wa kibinadamu ni aina ya eneo la mda lisilo kuwa na jeshi kwa kusudi la kuruhusu usafiri salama wa misaada ya kibinadamu ndani au ya wakimbizi nje ya eneo la majanga. Kanda hizo zinajihusisha na maeneo yasiyo ruhusu kuruka kwa ndege au kuendshwa kwa mgari.[1]

Baadha ya knda za kibinadamu zimependekezwa baada ya vita baridi ya dunia, kueka mbele pande moja au zaidi ya pande zinazopiga, au jumuiya ya kimataifa iwapo kuna uvamizi wa kibinadamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [https://web.archive.org/web/20130912132019/http://www.un.org/News/Press/docs//2008/sc9418.doc.htm "SECURITY COUNCIL HEARS CONFLICTING RUSSIAN, GEORGIAN VIEWS OF WORSENING CRISIS AS MEMBERS SEEK END TO VIOLENCE IN DAY�S SECOND MEETING ON SOUTH OSSETIA"]. web.archive.org. 2013-09-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-12. Iliwekwa mnamo 2022-08-15.