Nenda kwa yaliyomo

Kalebu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ishara ya kaburi la Kalebu, Timnat Serah.

Kalebu (kwa Kiebrania כָּלֵב, Kalev) ni jina la kiume. Binadamu muhimu zaidi mwenye kuitwa hivyo anatajwa katika Biblia na katika Quran (5:22-26).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalebu kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.