Nenda kwa yaliyomo

Kalb El louz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kalb el louz au Qalb ellouz (kwa kiarabu:قلب اللوز) ni chakula cha kimila ya semolina kinachopatikana jangwani Algeria. [1][2]

Kalb el louz

Kelb el louz, yenye maana ya "moyo wa mlozi" inayojulikana kama chamia au h'rissa kutokana na mji husika. Ni chakula cha kimila kutoka jangwani Algeria. Kinaandaliwa na mlozi, asali, semolina na maua ya machungwa.