Kalagi, Mukono
Mandhari

majira nukta (0 ° 30'18.0 "N, 32 ° 45'00.0" E (Latitudo: 0.5050; Longitude: 32.7500))
Kalagi ni mji katika wilaya ya Mukono katika mkoa wa kati nchini Uganda.
Mahali ulipo
[hariri | hariri chanzo]Mji huo ni takriban kilomita 16 sawa na maili 10 kaskazini mwa Mukono makao makuu ya wilaya ambapo inaunda makutano ya T na barabara kutoka Kasangati hadi Kayunga. Ikiwa inapatikana kwa majira nukta (0 ° 30'18.0 "Kas, 32 ° 45'00.0" Mash. (Latitudo: 0.5050; Longitudo: 32.7500)).[1]
Maeneo ya kuzingatia
[hariri | hariri chanzo]Vitu vya ziada vilivyo ndani ya mji au karibu na kingo zake:
- Ofisi za Halmashauri ya Mji wa Kalagi
- Soko kuu la Kalagi
- Msingi wa Ssamba
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Location of Kalagi, Mukono At Google Maps (Ramani). Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.
{{cite map}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kalagi, Mukono kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |