Nenda kwa yaliyomo

Kal Hourd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kal Hourd (tamka Hurd, alizaliwa 9 Mei) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country kutoka Kanada.

Albamu ya kwanza ya Hourd, Haven't Even Met Yet, ilitolewa mnamo Agosti 2009 na E1 Entertainment.[1] [2]

  1. Dedekker, Jeff; French, Janet (2009-09-10). "It's time to meet Kal Hourd". Saskatoon, Saskatchewan, Canada: The StarPhoenix. Iliwekwa mnamo 2019-10-31.
  2. "Johner big winner at SCMA award show", Star-Phoenix, 16 April 2007, p. 2. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kal Hourd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.