Kakuuto, Uganda
Mandhari

majira nukta (0 ° 50'24.0 "S, 31 ° 27'36.0" (Latitudo: -0.8400; Longitude: 31.4600))
Mahali ilipo
[hariri | hariri chanzo]Kakuuto ipo katika wilaya ya Kyotera, takriban umbali wa kilomita 80 sawa na maili 50 kwa barabara uelekeo wa kusini mwa Masaka ambalo ndio jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo.[1] Eneo hili lipo magharibi mwa barabara kuu inayounganisha Masaka na mji wa mpaka wa Mutukula,ipo mita 1,200 sawa na futi 3,900 kutoka usawa wa bahari. Mutukula ni mji wa mpakani kati ya Uganda na Tanzania uko takriban kilomita 17 sawa na maili 11 umbali kwa barabara kutoka kusini mwa Kakuuto.[2] ipo katika majira nukta (0 ° 50'24.0 "S, 31 ° 27'36.0" (Latitudo: -0.8400; Longitude: 31.4600)).[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Road Distance Between Masaka And Kakuuto With Map
- ↑ Road Distance Between Kakuuto And Mutukula With Map
- ↑ Location of Kakuuto At Google Maps (Ramani). Iliwekwa mnamo 10 Julai 2015.
{{cite map}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kakuuto, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |