Kaizari Quintillus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Quintillus

Marcus Aurelius Claudius Quintillus alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa siku kadhaa tu katika mwaka wa 270 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Claudius II.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Quintillus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.