Kaizari Honorius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Honorius

Honorius (9 Septemba, 38415 Agosti, 423) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Januari 395 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Theodosius Mkuu. Kaka yake Arcadius alikuwa Kaizari wa Roma Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Honorius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.