Saning'o Kaika Ole Telele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kaika Saning'o Telele)

Saning'o Kaika Ole Telele (amezaliwa tar. 15 Januari 1954) ni mbunge wa jimbo la Ngorongoro katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Saning'o Kaika Ole Telele". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.