Nenda kwa yaliyomo

Faustine Kabuzi Rwilomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kabuzi Faustine Rwilomba)

Faustine Kabuzi Rwilomba (amezaliwa tarehe 15 Juni 1952) ni mbunge wa jimbo la Busanda katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Faustine Kabuzi Rwilomba". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.