Faustine Kabuzi Rwilomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Faustine Kabuzi Rwilomba (amezaliwa tarehe 15 Juni 1952) ni mbunge wa jimbo la Busanda katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Faustine Kabuzi Rwilomba (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.