Nenda kwa yaliyomo

Kabiru Alausa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabiru Oluwamuyiwa Alausa (alizaliwa 28 Machi 1983) ni mwanasoka mstaafu wa Nigeria ambaye alicheza kama mshambuliaji. Yeye ni kocha msaidizi katika klabu ya Shooting Stars ya Nigeria. [1]

Alausa alianza maisha yake ya soka kucheza katika klabu ya Julius Berger na alikuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Nigeria mwaka wa 2004, akifunga mabao 13 msimu huo. ref>"Nigeria: Alausa Eyes Coca-Cola FA Cup Golden Boot". AllAfrica.com. AllAfrica. 15 Septemba 2004. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)</ref>

  1. "Kabiru Alausa: 3SC Lost 'Gallantly' Against Akwa United". InsideOyo.com. InsideOyo. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabiru Alausa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.