Kabila la Simeoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabila la Simeoni ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Lilipewa na Yoshua eneo kusini kabisa mwa nchi, kwenye jangwa, ila liliwahi kumezwa mapema na kabila kubwa la Yuda.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Simeoni kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.