KNEC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Baraza la Mitihani ya Kitaifa ya Kenya, (Kenya National Examination Council, KNEC) ni baraza la kitaifa ambalo lina wajibu wa kusimamia mitihani ya kitaifa nchini Kenya. Baadhi ya mitihani inayopeana ni:

Huu ni mtihani ambao hufanywa baada ya mwnanafunzi kumaliza masomo yake ya msingi. Huu ni wakati mwanafunzi huyu yumo katika darasa la nane. Baada ya kufanya mtihani huu, yeye anaweza kujiunga na sekondari.

Huu ni mtihani ambao hufanywa baada ya mtu kutimiza miaka minne ya masomo katika shule ya sekondari (uplili). Baada ya kuufanya mtihani huu, mmoja anaweza kwenda chuo kikuu au taasisi za msingi wa juu na hii inategemea alama aliyopata. Mitihani ya mwisho ya politekniki zote za kitaifa.

Somea KCSE na ona vyuo vikuu nchini Kenya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]