Kōyō Aoyagi
Kōyō Aoyagi (青柳 晃洋, Aoyagi, Kōyō, amezaliwa 11 Desemba 1993) ni mchezaji wa besiboli mtaalamu kutoka Japani ambaye kwa sasa anacheza Hanshin Tigers ya Nippon kama mtaalamu wa besiboli.[1]

Historia katika taaluma yake
[hariri | hariri chanzo]Kōyō alianza kucheza katika timu ya Terao Dolphins akiwa darasa la tano katika shule ya msingi, na kwenda kucheza katika timu ya Namamugi Junior High. Alikua mchezaji bora wa Shule ya Upili ya Kawasaki Kikoka huko Kanagawa, lakini timu yake haikuweza kufuzu kwa mashindano yoyote ya kitaifa.[2][3][4][5]
Aliingia Chuo Kikuu cha Teikyo ambapo alikuwa akianza katika timu yake katika Ligi ya Besiboli ya Chuo Kikuu cha Tokyo Metropolitan Area. Licha ya kufanyiwa upasuaji wa kiwiko cha mkono wa kulia katika mwaka wake wa tatu, alicheza vyema mwaka uliofuata ambapo aliongoza ligi, na kutunukiwa tuzo ya Tisa Bora. Baada ya miaka minne alikuwa amecheza mara 37.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "阪神青柳、480万円増に控えめガッツポーズ – 野球". Nikkan Sports. November 17, 2016
- ↑ "桐蔭の4番・茂木 プロ注目の川崎工科・青柳から一発". Sports Nippon. Julai 25, 2011.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 柏村翔 (Machi 6, 2016). "落ち着け青柳!ド緊張の虎ルーキー、愛の声かけリレーで蘇生(1/2ページ)". Sankei Sports.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "阪神5位青柳「人が多い...」初甲子園で3者連続四球". Nikkan Sports. Machi 5, 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 柏村翔 (Machi 6, 2016). "落ち着け青柳!ド緊張の虎ルーキー、愛の声かけリレーで蘇生(2/2ページ)". Sankei Sports.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "阪神5位の青柳と仮契約 右打者相手に自信あり". Nikkan Sports. Novemba 17, 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kōyō Aoyagi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |