Justine Zulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Justine Zullu (amezaliwa tarehe 11 Agosti 1989 mjini Lusaka,Zambia) ni mchezaji wa kandanda akiichezea klabu ya Yanga Sc ya nchini Tanzania akicheza nafasi ya kiungo mkabaji.

Klabu alizowahi chezea[hariri | hariri chanzo]

2013-2014-Kabwe Worriers

2014-2017-Zesco United

2017-Yanga Sc


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justine Zulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.