Nenda kwa yaliyomo

Julien Poulin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julien Poulin (20 Aprili 19464 Januari 2025) alikuwa mwigizaji, mkurugenzi wa filamu, mwandishi wa miswada, na mtayarishaji wa filamu kutoka Kanada.

Aliigiza nafasi nyingi katika filamu na tamthilia maarufu za Quebec. [1][2][3]

  1. Blackburn, Roger (21 February 2014). Le conseil de Julien Poulin: "Think big", Le Quotidien (Saguenay) (in French)
  2. Auger, Samuel (29 September 2008). Julien Poulin : mon métier, my life, Le Quotidien (Saguenay) (in French)
  3. (11 August 2012). Julien Poulin: une longue feuille de route, La Voix de l'Est
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julien Poulin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.