Julie Thibaud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thibauld mnamo 2018

Julie Thibaud (alizaliwa 20 Aprili 1998 )[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ufaransa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Thibaud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.