Nenda kwa yaliyomo

Julie Dachez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julie Dachez

Julie Dachez (alizaliwa 5 Februari 1985) ni mwanasaikolojia wa kijamii, mhadhiri, na mtetezi wa haki za watu wenye usonji kutoka Ufaransa. Yeye ni mwandishi wa vitabu Invisible Differences na Dans ta bulle! (‘Ndani ya Ndoto Zako!’). Mnamo 2016, alikua mtu wa kwanza mwenye usonji kujitokeza hadharani na kutetea tasnifu juu ya mada hiyo nchini Ufaransa.[1][2]

  1. "Autisme Asperger : en finir avec les préjugés". Franceinfo (kwa Kifaransa). 11 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Cabut, Sandrine. "Julie Dachez, une incarnation de l'autisme au féminin", Le Monde, 2 September 2018. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Dachez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.