Juliana Azumah-Mensah
Juliana Jocelyn Azumah Mensah | |
Amezaliwa | 15 Juni 1950 Koforidua , Ghana |
---|---|
Nchi | Ghana |
Kazi yake | Mwanasiasa |
Juliana Jocelyn Azumah Mensah (alizaliwa Koforidua, mji mkuu wa Mkoa wa Mashariki wa Ghana 15 Juni 1950) ni mwanasiasa wa Ghana. Alikuwa waziri wa masuala ya wanawake na watoto; pia ni mbunge wa bunge la HO mashariki.[1][2]
Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]
Juliana Azumah Mensah alisoma shule ya msingi huko Argotime-Kpetoe, mkoa wa Volta. Alipata elimu ya sekondari katika shule ya wasichana OLA huko HO mji mkuu wa mkoa wa Volta ambapo alipata kiwango cha kawaida cha GCE mnamo 1969.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://www.myjoyonline.com/cletus-avoka-others-vetted/
- ↑ Parliamentary Candidates for Volta Region. www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2022-12-20.