Judy Collins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Judith Marjorie Collins(alizaliwa 1 Mei 1939) ni mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki wa Marekani, ambaye amekuwa akifanya kazi hiyo kwa miongo saba.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Judy Collins", National Academy of Recording Arts and Sciences. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judy Collins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.