Judwaa 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Judwaa 2 (tafsiri: Mapacha) ni filamu ya vichekesho ya Kihindi ya mwaka 2017 iliyoongozwa na David Dhawan.

Mhusika mkuu katika filamu hii ni Varun Dhawan akicheza mapacha Raja na Prem na wengine ni Jacqueline Fernandez akicheza kama Alishka Bakshi, Taapsee Pannu akicheza kama Samaara, Anupam Kher kama Balraj Bakshi, baba yake Alishka, Sachin Khedekar kama Bwana Rajeev Malhotra, baba wa Raja na Prem, Prachi Shah kama Bi Ankita Malhotra, mama Raja na Prem, Upasana Singh kama Mama wa Samaara, Rajpal Yadav kama Nandu,an Manoj Pahwa kama Sharafat Ali, bosi wa Raja.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judwaa 2 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.