Nenda kwa yaliyomo

Juba wa Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juba wa Kati ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa Somalia kusini. Una eneo la km2 18,289 na wakazi 432,200 (2019).

    Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Juba wa Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.