Juanita Frances
Mandhari
Juanita Frances (née Juanita Frances Lemont, jina baada ya kuolewa Juanita Frances Schlesinger; 1901-1992) alikuwa mwanaharakati wa masuala ya wanawake na mwanzilishi wa Chama cha Wanawake Walio kwenye Ndoa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sharon Thompson (2022-09-12). "The untold story of a mid-20th century group of women fighting for equality in marriage -- and why it matters today". The Conversation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-12-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juanita Frances kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |