Juan Martín de Pueyrredón
Mandhari
Juan Martín de Pueyrredón y O'Dogan (18 Desemba 1777 – 13 Machi 1850) alikuwa jenerali na mwanasiasa wa Argentina mwanzoni mwa karne ya 19.
Aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mikoa ya Muungano ya Río de la Plata baada ya Tamko la Uhuru la Argentina.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juan Martín de Pueyrredón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |