Nenda kwa yaliyomo

Joshua J. Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joshua J. Johnson (alizaliwa Mei 10, 1976) ni mwanariadha wa Marekani ambaye alibobea katika mbio za mita 200. Johnson ni bingwa wa dunia katika mbio za kupokezana vijiti 4 × 100. [1]

  1. "Joshua J. JOHNSON - Profile".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joshua J. Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.