Nenda kwa yaliyomo

Josephine Nabukenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Josephine Nabukenya
Amezaliwa Josephine Nabukenya
Uganda
Jina lingine Josephine
Kazi yake Mwandishi

Josephine Nabukenya ni raia wa Uganda, mwanaharakati wa kupambana na Virusi vya UKIMWI ambaye pia ni muathirika wa maambukizi ya virus vya UKIMWI.[1][2][3]

Pia ni balozi wa Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (EGPAF).[1] Yeye ni mmoja wa vijana ambao wamekua kutoka kwenye woga hadi kuwa viongozi wenye nguvu na kujiamini na ambao huwahimiza watoto na vijana wengine kuishi vyema angali wakiishi na maambukizi na kusisitiza matumizi ya dawa zao.[4]

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". www.newvision.co.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-06-26. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Josephine Nabukenya - Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation". Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-06-26.
  3. "Queen Elizabeth to Honour Ugandan Youth". ChimpReports (kwa American English). 2016-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-06-26.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". www.newvision.co.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-09. Iliwekwa mnamo 2020-06-26. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josephine Nabukenya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.