Joseph James Mungai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Joseph James Mungai (24 Oktoba 1943 - 8 Novemba 2016) alikuwa mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] akitokea katika chama cha CCM.

Aliwahi kuwa waziri wa elimu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Joseph James Mungai (1 Februari 2007). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.