Nenda kwa yaliyomo

José de la Canal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José de la Canal (11 Januari 176817 Aprili 1845) alikuwa mwanahistoria wa Kanisa wa Hispania.

Alizaliwa kwa wazazi maskini, katika kijiji cha Ucieda, kilichopo Cantabria, Hispania. Alilelewa na mjomba wake, mtawa wa Waaugustino, na alisoma katika konventi za Wakodimani na Watawa wa Mt. Agustino huko Burgos; huko Burgos, mnamo 1785, alikubaliwa rasmi katika Shirika la Waaugustino. Baadaye alikua profesa wa falsafa, kwanza katika konventi ya shirika lake huko Salamanca, na kisha huko Burgos.[1]

  1. "Catholic Encyclopedia", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-10-30, iliwekwa mnamo 2024-12-01
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.