José Neto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José Alves dos Santos Neto (alizaliwa 16 Machi 1971) ni kocha mtaalamu wa mpira wa kikapu kutoka nchini Brazil. Tangu mwaka 2020 alikuwa kocha mkuu wa klabu ya Petro de Luanda katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Angola, na pia kwa timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanawake ya nchini Brazil.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "José Alves dos Santos Neto". lnb.com.br. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.