José Bonaparte
Mandhari
José Fernando Bonaparte (14 Juni 1928 – 18 Februari 2020) alikuwa mtaalamu wa palantolojia kutoka Argentina ambaye aligundua idadi kubwa ya dinosauri wa Amerika Kusini na kulea kizazi kipya cha wanasayansi wa palantolojia wa Argentina. Mtaalamu wa paleontolojia Peter Dodson amemuelezea kama mtu ambaye "kwa kiasi kikubwa...anahusika peke yake katika kuifanya Argentina kuwa nchi ya sita duniani kwa aina za dinosauri."[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Giacchino, Adrián (1999). "El doctor José Fernando Bonaparte, tras las huellas de los dinosaurios" (kwa Kihispania). CAECE University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-29.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu José Bonaparte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |