Jorge María Mejía
Mandhari
Jorge María Mejía (31 Januari 1923 – 9 Desemba 2014) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki (Mapokeo ya Roma) kutoka Argentina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cardinals Ask More Sharing Of Power And Debate", The New York Times, 24 May 2001. Retrieved on 13 November 2010.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |