Nenda kwa yaliyomo

Johnny Drille

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johnny Drille

John Ighodaro (anajulikana pia kama Johnny Drille, amezaliwa 5 Julai, 1990) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria[1][2].

Maisha ya Mapema na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Johnny Drille alizaliwa na kukulia katika Edo State, Nigeria. Baba yake ni mkuu wa shule na kiongozi wa dini. Ana ndugu wanne.[3]

Alianza kuimba katika kanisa la baba yake akiwa na umri mdogo. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Benin, Benin City, ambapo alisoma Masuala ya Kiingereza na Fasihi.[4][5]

  1. Adelagun, Oluwakemi (Agosti 10, 2018). "Why Nigerian musicians fall out with their record labels – Johnny Drille". Premium Times. Iliwekwa mnamo Agosti 21, 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Odoh, Chux (Mei 6, 2018). "HEADIES 2018: 'It Only Gets Better From Here' – Johnny Drille Speaks on Headies Loss". The Net. Iliwekwa mnamo Agosti 21, 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Johnny Drille turns 29" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-12-21.
  4. Ibori, Diana (Januari 15, 2018). "Johnny Drille's biography and career achievements". Naija.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 21, 2018. Iliwekwa mnamo Agosti 21, 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Johnny Drille Biography & Net Worth". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-08-04. Iliwekwa mnamo 2025-09-10.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johnny Drille kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.