John Paul Magalle Shibuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

John Paul Magalle Shibuda (amezaliwa 23 Februari, 1950) ni mbunge wa jimbo la Maswa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu John Paul Magalle Shibuda (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.