Nenda kwa yaliyomo

John M. Lovett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John M. Lovett AM (10 Julai 1943 - 30 Oktoba 2003) alikuwa kiongozi wa zamani wa serikali ya Australia ambaye alifanya maendeleo katika ukuaji wa michezo nchini Australia.[1]

Pia, alikuwa Rais wa zamani wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo kwa Viziwi, ambapo alihudumu kama rais wa awamu ya saba kutoka 1943 mpaka kufa kwake, mnamo 2003.[2][3]

John M. Lovett aliteuliwa kuwa Mwanachama wa Agizo la Australia (AM) na serikali ya Australia, Siku ya Sherehe za Australia mnamo mwaka 1986, kwa ajili ya huduma kwa wale wenye ulemavu wa kusikia.''[4]

Alimuoa mwongeleaji wa zamani wa Olimpiki ya viziwi wa Uingereza, ambaye alikuwa anaitwa, Jill Diana Lovett.[5]

Lovett alifariki katika hospitali ya Melbourne, Australia tarehe 30 Oktoba kutokana na kansa ya damu.Vilevile, aliwahi kuwa Rais wa ICSD kabla ya kifo chake.[6]

Tuzo na heshima

[hariri | hariri chanzo]

Uanachama wa Agizo la Australia (AM)

Edward Miner Gallaudet Award katika Chuo Kikuu cha Gallaudet[7]

Medali ya heshima ya CISS - fedha, mwaka 1985

Medali ya heshima ya CISS - dhahabu, mwaka 1993

  1. Deaf Society NSW. "NSW Deaf Herald - Issue 08 - Winter 2012" (PDF). uk. 12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "ICSD | Deaflympics". www.deaflympics.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-15. Iliwekwa mnamo 2017-10-31.
  3. "HISTORY". imafd.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2017-10-31.
  4. "AD86" (PDF). Governor General's Office of Australia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 20 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Australian Association of the Deaf. "Annual report 2003 - 2004" (PDF). uk. 3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Februari 29, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "John M. Lovett passed away". www.deaflympics.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 2017-10-31.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Manuscripts". www.gallaudet.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-10-31.