Nenda kwa yaliyomo

John Arcand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Baptiste "John" Arcand, CM (alizaliwa 19 Julai 1942, katika Jackson Lake, Saskatchewan) ni mchezaji wa fidla, mtunzi, mwalimu, na mtengenezaji wa ala za muziki kutoka Canada.[1]

  1. "John Arcand plays music to preserve culture | Windspeaker - AMMSA". www.ammsa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-02.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Arcand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.