Johann Gropper
Mandhari
Johann Gropper' (alizaliwa 24 Februari 1503 – 13 Machi 1559) alikuwa kardinali wa Ujerumani na mwanasiasa wa kanisa wakati wa kipindi cha Matengenezo ya Kikanisa.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |